Picha ya Marafiki wa Lowassa

Picha ya Marafiki wa Lowassa

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,155
Reaction score
48,398
Edward Lowassa alikuwa ni mwanasiasa ambaye alikuwa na marafiki kutoka vyama vyote vya siasa.

Lowassa alikuwa na marafiki ndani ya CCM na nje ya CCM. Lowassa aliwafanya mahasimu wa kisiasa kukaa pamoja.

Jee nje ya urafiki wao na Lowassa , Freeman Mbowe, Zitto Kabwe,Hussein Bashe na Rostam Aziz maslahi yao kisiasa ni mamoja?

Tundu Lissu kwenye hizi connection hayumo?

downloadfile-23 (1).jpg
 
ukiona mtu anatabasamu kwenye kuzika ujue ni psychopath au kwa tafsiri nyingine anafurahia, angalia picha ...
Kabisa... Ila ingawa Pascal Mayalla anasema Polepole hasemi yote, aliyokwisha kusema tayari yanaleta maana...

Hata kama mtoto wa jicho (cataract) hajatoka, lakini angalau matongotongo yametoka.
 
Polepole mwaka huu atawatoa nyongo... Maana kila anayejibu anapewa majibu yake anatulia... Sijui Albert Msando aliishia wapi😃😆
NAam, hiki anachofanya polepole kwa sasa kila mtu akifanya, hata kama wasipotaka kutoka hapo ikulu ila mambo yatakwenda vizuri tu,

Huyu slowslow ni mtu wa ndani kina msando watachemka tu🤣
 
Back
Top Bottom