NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,921 Feb 1, 2016 #21 Chakaza said: Labda ndio mwenyewe, ukiona huyo jamaa yuko naye karibu na anahakikisha wanapiga picha ujue ni tajiri huyo. Click to expand... Kumbe kichumia tumbo
Chakaza said: Labda ndio mwenyewe, ukiona huyo jamaa yuko naye karibu na anahakikisha wanapiga picha ujue ni tajiri huyo. Click to expand... Kumbe kichumia tumbo
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,580 Reaction score 1,105,913 Feb 1, 2016 #22 Huyu dogo si ndiyo alitutukana Wabongo kwenye ile video? Eti wenyewe ndo wanamiliki Tanzania. Dhambi hiyo itaendelea kumtafuna yeye na kizazi chake chote!
Huyu dogo si ndiyo alitutukana Wabongo kwenye ile video? Eti wenyewe ndo wanamiliki Tanzania. Dhambi hiyo itaendelea kumtafuna yeye na kizazi chake chote!
Miiku JF-Expert Member Joined Oct 8, 2014 Posts 3,835 Reaction score 2,650 Feb 1, 2016 #23 MasterP. said: Huyo babu anavyopenda kutafuta marafiki Kila siku utadhani ndo kabalehe jana tu...... Click to expand... Ndio maana sahivi kapata jina la Baba swalehe. Wimbo uliowimbwa na nikkiwapili ambao hakika Kila kitu kilichoko kwenye wimbo huo kinaendana nae!
MasterP. said: Huyo babu anavyopenda kutafuta marafiki Kila siku utadhani ndo kabalehe jana tu...... Click to expand... Ndio maana sahivi kapata jina la Baba swalehe. Wimbo uliowimbwa na nikkiwapili ambao hakika Kila kitu kilichoko kwenye wimbo huo kinaendana nae!