Picha ya Marafiki niliyoipenda

Chakaza

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2007
Posts
41,044
Reaction score
74,761
Hapa ni babu na mjukuu wake ambao ni marafiki.
Le mutuz vs Khalifan JK.
Imetulia haswa.
 

Attachments

  • 1453385144783.jpg
    30 KB · Views: 91
Umri sawa tu hao, baba zao walikuwa wanafanyakazi pamoja
 
Le mutuz atakwambia hilo shati alinunua kwa laki
 
Huyo babu anavyopenda kutafuta marafiki Kila siku utadhani ndo kabalehe jana tu......
 
Aisee akili zao zinalingana.huoni wameendana.
 
teh teh...Tycoon Le mutuz aka Akili kubwa mbona kama kapungua..Au ndo mambo ya Gym
 
Huyu Jamaa Ni Hopeless Japo Anaimudu Hopeless Life.He Is An Hopeless Man 100% But He Knows How 2 Play With The Hopeless Life
 
hahahah baba swalehe..

Baba na mwana!!! Huyu mzee mbona anafanana na yule binti wa miaka 16 aliyemuomba mama yake gari kama birthday present yake kule marekani!!Je inawezekana huyu ndiye baba yake?
 
MKUU KIJANA MBONA ANAFANANA NA MMILIKI MKUU WA UDA.
Labda ndio mwenyewe, ukiona huyo jamaa yuko naye karibu na anahakikisha wanapiga picha ujue ni tajiri huyo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…