eti eh..mpokee tlp atawafaaKitty Galore.

Charles ni mkakamavu na shujaa kuliko unavyofikiri ulichoshindwa kujua ni siasa za makundi ndani ya CDM zimekuaminisha hivyo.
Kitty Galore.
Charles ni mkakamavu na shujaa kuliko unavyofikiri ulichoshindwa kujua ni siasa za makundi ndani ya CDM zimekuaminisha hivyo.

Dr. Silaa aliposema ni mtu makini hawa jamaa walikuwa hawajaja ndani ya TITANIC yetu ya CHADEMA?
Very poor profile, ni darasa la saba kasomea huko singida, amefanya kazi Asilia Lodges/Grumeti Expeditions kazi ya kupokea simu na kupiga. Kazi yake ilikuwa ni uchonganishi na kugawa uroda kwa madereva. Alifukuzwa kazi ndo akahamia Asilia Lodges nako akafukuzwa.

Hakuna mkamilifu,hii dunia hamjafa hamjaumbika!acheni kuwananga wenzenu mmekaa Kama watu ambao hamna dini,nyamafu zenu
dah rasta na yeye yumo, khaaas kweli pesa shetani!