Picha ya leo

Picha ya leo

Huyu bwana a it we shujaa Wa 2015. Nilipoiona hiyo picha kwenye runinga nilisikitika Sana. Yule mtoto maskini ya Mungu angekufa bure. 2040 yule ndiyo mbunge wa Ilala na naibu Waziri wa miondombinu.
 
Serikali kupitia mkuu wa mkoa wa dar Mh. Meck Sadick wameipongeza mvua hii na kuiombea inyeshe zaidi ili kuwakomesha waliojenga mabondeni.
 
Hivi dar mnayoisifia ndo iko hivi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom