Picha ya leo

Hii picha inanikumbusha Enzi za primary school hapo break ya saa nne!!!!
 
Hii picha inanikumbusha Enzi za primary school hapo break ya saa nne!!!!
Dah hata mimi nilikula sana mihogo ya kuchemsha na kachumbari primary nilipofika sekondari nkahamia mihogo ya kukaanga na mbilimbi acha kabisa....
 
Nakumbuka enzi za primary school muda wa kutoka shule lazima kupita kwa mama muuza mihogo au viazi na kachumbari tunashushia na barafu za ukwaju
 
Chips dume na hiyo kachumbari sio mchezo, maudenda yanaweza kukutoka
 
songeaaaa enzi nipo likizo. nikienda tution songea girls mchana natafuna hiyo then napata maji na kurud class tena
 
Enzi hizo pale nje ya ukuta wa Azania Secondary kulikua na mtaalam akiitwa Mpingo. Mzigo kama huo ukikua haupungui mida ya break saa nne. Hapo unashushia na juice ya ukwaju au machungwa. Sijui tangu vibanda vyao viondolewe Mpingo yupo wapi siku hizi?
 
Mimi enzi zangu, alikuw jamaa mmoja anaitw Hussein karib na fish pond pale...
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…