Picha ya leo

Picha ya leo

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,210
993315_193037824190373_1586085748_n.jpg
ngorongoro crater
 
Uppoohhh!! Whats this? Scenery gani umeonesha hapo? Next time weka picha nzuri bana, hii picha MBAYA ukilinganisha na uzuri wa Ncaa mkuu
 
Dah nimekumbuka zamani sana, ezi za o'level na A level ndio tulitembelea hiyo sehemu
 
Nchi hii ina kila kitu lakini wanufaikaji ni
wachache ndiyo maana hata watalii wa ndani
huwa hawatembei Mbuga hizo maana kula
yao kwa siku ni matatizo.

Mbaya zaidi Serikali inajua vema lkn haioni.
 
Nchi hii ina kila kitu lakini wanufaikaji ni
wachache ndiyo maana hata watalii wa ndani
huwa hawatembei Mbuga hizo maana kula
yao kwa siku ni matatizo.

Mbaya zaidi Serikali inajua vema lkn haioni.

mie mwezi ujao naenda kutalii.. mwishi utasikiba kinana kamaliza tembo wote
 
Tanzania is Blessed !! Wandugu tutunze na tulinde neema hii ili vizazi vijao angalau vipate kuona na kuendeleza masilahi ya nchi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom