Picha ya leo

Picha ya leo

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,209
15033_690961624254331_155867096_n.jpg
 
Jamaa wa magamba akiwaona hao twiga,safari inawangonjea,tena na tembo wangekuwepo balaa lingekuwa kubwa!
 
Neema hiyo jamaanii itunzwee hiyo Mungu katupendelea TZ. niwakushukuriwa atuzidishie!!
 
bila shaka picha ya mwisho ni kijijini kwetu.
 
Utakuwa ni mto Mbaka wa Nditu Tukuyu huko au Mto Kiwira Kyela...

Mkuu huo ni mto Kiwira hapo panaitwa KIBWE au "daraja la Mungu" ipo chuo cha Magereza kiwira, It's amazing kwa kweli, nimevuka hapo zaidi ya mara tano. Huo mto maeneo ya huko una maajabu sana kiasi hadi chuo cha magereza kimepiga marufuku wanachuo kufanya shughuli yoyote kwenye mto huo.
 
Back
Top Bottom