Picha ya leo

Picha ya leo

Mkuu huo ni mto Kiwira hapo panaitwa KIBWE au "daraja la Mungu" ipo chuo cha Magereza kiwira, It's amazing kwa kweli, nimevuka hapo zaidi ya mara tano. Huo mto maeneo ya huko una maajabu sana kiasi hadi chuo cha magereza kimepiga marufuku wanachuo kufanya shughuli yoyote kwenye mto huo.

Dah mwanzoni sikuwa nimeweza kung'amua kwa haraka hivyo...
 
Mkuu huo ni mto Kiwira hapo panaitwa KIBWE au "daraja la Mungu" ipo chuo cha Magereza kiwira, It's amazing kwa kweli, nimevuka hapo zaidi ya mara tano. Huo mto maeneo ya huko una maajabu sana kiasi hadi chuo cha magereza kimepiga marufuku wanachuo kufanya shughuli yoyote kwenye mto huo.

Kwanini wazuiwe Baba V? au kuna chunusi?
 
Last edited by a moderator:

Mkuu kuna wanachuo walíkuwa wanafua kwenye mto huo na kuogelea walizama katika namna yenye utata, inasemekana walitabasamu na kuwapungia mkono wenzao na kupotea...
 
Last edited by a moderator:
Aah wapi.! kipoke hakuna mto mkubwa hivyo, hiyo ni Magereza kiwira kuje chuo ukipita Lugombo..

Anhaaaaa......nilishawah kuhadithiwa na bibi huko.Ingawa nilifika mto kiwira pale nakuoga juu last year.
 
Mkuu kuna wanachuo walíkuwa wanafua kwenye mto huo na kuogelea walizama katika namna yenye utata, inasemekana walitabasamu na kuwapungia mkono wenzao na kupotea...
ungajhobha ulo kangi, undilisye fijho gwe nongi!
 
Back
Top Bottom