Picha ya leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha ya leo

Discussion in 'Jamii Photos' started by mysteryman, Dec 22, 2011.

 1. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #1
  Dec 22, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Maarufu tembe nje kidogo ya manispaa ya dodoma
   

  Attached Files:

 2. Emanuel Makofia

  Emanuel Makofia JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 3,843
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  hakuna anaependa ila umaskini ndo unasababisha!
   
 3. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #3
  Dec 22, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Umaskini umesababishwa na nini?
   
 4. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #4
  Dec 22, 2011
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Hilo swali hebu muulize JK perhaps by now he might have the answer.
   
 5. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #5
  Dec 22, 2011
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,634
  Likes Received: 1,406
  Trophy Points: 280
  Atakwambia yeye sio mungu!
   
 6. M

  Marytina JF-Expert Member

  #6
  Dec 22, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  wapiga kura wakuu wa CCM
   
 7. s

  sarawati Senior Member

  #7
  Dec 22, 2011
  Joined: Dec 19, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  huo ni mko wa magamba
   
 8. Mbugi

  Mbugi JF-Expert Member

  #8
  Dec 22, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,488
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Nadhani tungejua kwanza umaskini kwenu ni nini? ndipo tujue sababisho la umaskini.
  NINGESIHI PIA KWAMBA KWA PICHA HIYO HAIMAANISHI HUYO MTU NI MASKINI KWANI YAWEZEKANA ANADUMISHA MILA NA DESTURI ZA KWAO
   
 9. L

  Lwikunulo Senior Member

  #9
  Dec 22, 2011
  Joined: Jun 1, 2007
  Messages: 114
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35

  Kudumisha nini....mila na desturi? Are you serious? Kama ndivyo basi soon nategemea nyumba kama hiyo (tembe) ijengwe mtaa wa Samora (Dar) kwani wanaopenda kudumisha mila na desturi zao nadhani wapo kila mahali na sio vijijini tu!
   
 10. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #10
  Dec 22, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  jibu nzuri sana...safi kabisa
   
 11. mwakaboko

  mwakaboko JF-Expert Member

  #11
  Dec 22, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 1,841
  Likes Received: 254
  Trophy Points: 180
  unacheza wewe, unatuuliza sisi swali gumu namna hii? MKUU WA NCHI
  ameshasema hajui kwa nini sisi ni maskini, sasa wewe unataka tutoe
  majibu gani kumpinga MKUU wa NCHI/ JIBU LA MKUU WA NCHI NI FINAL

  Jibu zaidi ya hilo ni utovu wa nidhamu
   
 12. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #12
  Dec 22, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Hayo ni maendeleo ya miaka 50 ya uhuru. Tumethubutu, tumeweza na tunazidi kusonga mbele. Kidumu chama cha mapinduzi na zidumu fikra za mwenyekiti
   
 13. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #13
  Dec 22, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Ndiyo maisha bora kwa kila Mtanzania kudadeki! FAIDA YA SERIKALI LEGELEGE,iliyo chini ya mafisadi wa sisiem!
   
 14. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #14
  Dec 22, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,312
  Likes Received: 5,596
  Trophy Points: 280
 15. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #15
  Dec 22, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hizi ndo nyumba zetu na wala si umaskini acheni maneno. Mbona mahali pengine wanalala kwenye nyasi si tumenyamaza?
   
 16. Tai Ngwilizi

  Tai Ngwilizi JF-Expert Member

  #16
  Dec 23, 2011
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  huyu raisi wa nchi yeye mwenye nyumba iliyoezekwa na nyasi kapenda mwenyewee!! binadamu ubunifu bana..unaona huyu mwenzie kaezeka na viroba na takataka nyinginezo...
   
 17. Tai Ngwilizi

  Tai Ngwilizi JF-Expert Member

  #17
  Dec 23, 2011
  Joined: Apr 20, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Dec 23, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  sio kila kitu JK, tembe zilikuwepo since mkoloni
   
 19. Tundapori

  Tundapori JF-Expert Member

  #19
  Dec 23, 2011
  Joined: Aug 12, 2007
  Messages: 521
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Maisha bora kwa kila mtanzania.
   
 20. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #20
  Dec 23, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Ina maana umeshindwa kuikuza hiyo picha?
   
Loading...