Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,474
- 4,007
Hapa ndio mtajua kuwa kina mama huwa wanahitaji sana msaada wa kina baba kwa vyovyote vile hata mke akiwa na pesa zaidi ya mwanaume lazima kuna kitu atakuja kwa mumewe amuombe amsaidie hata kama ni kidogo. tuwapende na tuwaheshimu sana kina dada jinsia hiyo ni mama zetu kabisa tuwasaidie tusiwanyanyase , tusiwaseme vibaya tuwapende zaidi maana wanahitaji upendo kutoka kwetu haijalishi alivyo na maisha yake yakoje wote tuwape haki zao.