Nakubaliana na wewe kabisa mkuu!Lakini ukiangalia vizuri kwa jicho la 3, tatizo hili ni la mrefu.
Nakubaliana na wewe kabisa mkuu!Lakini ukiangalia vizuri kwa jicho la 3, tatizo hili ni la mrefu.
Ina maana huyu ni Mwanaume wa Bara?hahahaaaaa
hii itakuwa masadukilo ipondya
huko kuna standard 4 leavers wanajifanya lufufu, wanajua hadi kichina.
Hapo inaelekea ni tandale kwa tumboHa ha haaaaa! Mbeya Siti Mwinyi na hapo kwenye Onion ndo kaua kabisa! Hii itakuwa ni Msoga.
Sasa mawazo kama hayo ndio yanafanya vijana wengi wasione umuhimu wa Shule, mbona Fulani hajasoma Ila anapiga pesa!Nyie chekeni mwenzenu anaingia senti jioni Wateja kwa wingi
uwieCc: Faiza Foxy
![]()
Elimu ni Janga kubwa la Taifa, Na it's getting worse and worse every day.Mheshimiwa lowassa alipoweka vipaumbele vya elimu elimu elimu aliona mbali.tukishaelimika kama taifa basi hata teknolojia itakuwa.
Ume itoaaa wap iyo bobCc: Faiza Foxy
![]()
Tuna group la football ndio jamaa alitupia jana.Ume i
Ume itoaaa wap iyo bob
ok mkuu endelea kutup vi2Tuna group la football ndio jamaa alitupia jana.