Picha ya Leo

Picha ya Leo

mpita-njia

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2010
Posts
1,736
Reaction score
1,621
Cc: Faiza Foxy

89231c015aa7711fb59480f1b4dfbd23.jpg
 
Na pengine amefika la saba huyo. Elimu msingi si ya kubezwa.
Sasa Ila sio sisi tu. Hata wazungu kuna ambao kusoma na kuandika ni shida.

Ila kwa kuwa wasomi wao wana uchungu Na chachu ya maendeleo ya nchi zao, huwa wanaofanya ugunduzi mwingi mpaka inaonekana watu wote wasomi japokuwa sio.

Sisi kwa sababu wasomi wetu matumbo yao Na familia zao. Ndio maana mambo kama ya kwenye picha yanatokea.
 
Back
Top Bottom