Picha ya Leo: Wana-ccm Katika Mgao!

Picha ya Leo: Wana-ccm Katika Mgao!

Omutwale

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2008
Posts
1,429
Reaction score
1,053
971729_632470940104614_604571014_n.jpg

cc: Ritz, chama, njiwa, Ng'wamapalala, HAMY-D, Lizaboni, babayako, Uncle Deo CHAMVIGA,
 
Last edited by a moderator:
yes, wao kwanza wananchi baadae. ubinafsi umetawala ccm. wachumia tumbo wengi ndo genge la ccm
 
gap kati ya ccm na wananchi ni kubwa saana, ndo maana wanauza raslimali zetu hovyo, wanaweka hela uswis
 
Ukiweka na UKAKAMAVU waliofundishwa mbona wanaweza kuuana hivihivi!!!
 
URL said:
yawezekana tunaitafsiri picha kinyume! Wenzetu walikuwa wanamtoa pepo-mchafu kwa huyo anayesilibwa kitambaa sikioni. Na labda huyo mwenye miwani ndiye Kiongozi wa watoa mapepo wachafu.




Pepo wa nini huyo??
 
Halafu style hio inaitwa KIMYA KIMYA yaani wanamsulubisha wala hakuna anyepiga kelele na wala jamaa wako relaxed sana si unamuona cameraman na huyo jamaa hapo kando
 
bado najiuliza kwani walikua wanagombania nini hasa hapa?
 
Khaa, ccm kwa uroho hawachelewi kutoana roho hawa.
Mkuu Camarederie umenichekesha mpaka basi, maana hiyo picha ya fisi inaendana kabisa na mwenendo wa ccm kwa sasa.
 
bado najiuliza kwani walikua wanagombania nini hasa hapa?

Ritz alilipwa 10,000 akakataa kurudisha chenji 3000 .kukaa kwenye keyboard toka asubuhi alafu alipwe 7000 ?liwalo na liwe
 
Last edited by a moderator:
bado najiuliza kwani walikua wanagombania nini hasa hapa?

Ritz alilipwa 10,000 akakataa kurudisha chenji 3000 .kukaa kwenye keyboard toka asubuhi alafu alipwe 7000 ?liwalo na liwe ngumu zikaanzia hapo!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom