Picha ya leo, so funny

Picha ya leo, so funny

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
21,854
Reaction score
26,094
12932580_10154072407459339_2256719531120159758_n.jpg
 
Hahaha Kipanya bhana...noma sana

huyo dem yuko fresh hapo nyuma!!!! anareflect raslimali tulizonazo ziavyovutia wawekezaji....

Naona pembeni kuna mchizi anamtolea udenda huyo dem....mchina anavizia Japan amalize nae azame ndani
 
wakikataa tutawaomba hata warusi na china wayajayapa mambo ya ushoga kipaumbele
 
mcc haijaweka ushoga kama masharti jamen achene kupotosha,,,,wanataka utawala wa sharia mlizojiwekea wenyewe na haki za binadam kuheshimiwa,,,,inamaana maraisi walopita walikubali ushogaa,,hayo mambo yalikuwepo toka Enzi za wayunani,,wachen maneno mepesi makasome vitabu,,,hata ukigoogle utayakuta sio kutwa mko fb
 
Back
Top Bottom