Picha ya Leo: kutoka Bungeni!

Picha ya Leo: kutoka Bungeni!

8E9U4907.JPG

​

Malawi’s Foreign Minister Etta Banda (on her knees, right) welcomes in style, President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete shortly after he arrived in Blantyre for one day working visit yesterday. On the left is Malawi’s Minister of transport and public infrastructure.
Naona fastjet na tabasamu lake la uchu
 
8E9U4907.JPG

​

Malawi’s Foreign Minister Etta Banda (on her knees, right) welcomes in style, President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete shortly after he arrived in Blantyre for one day working visit yesterday. On the left is Malawi’s Minister of transport and public infrastructure.
Tangu enzi za mababu na mpaka sasa kuna baadhi ya wanawake wanaofuata utaratibu wa namna ambavyo mwanaume anaheshimika,kule Sumbawanga na Katavi bado heshima hii inaendelea,kwa wanawake wa mjini ni wachache sana utakaowakuta wakifanya heshima za namna hii.
Mkuu asante kwa picha.
 
8E9U4907.JPG

​

Malawi’s Foreign Minister Etta Banda (on her knees, right) welcomes in style, President Dr.Jakaya Mrisho Kikwete shortly after he arrived in Blantyre for one day working visit yesterday. On the left is Malawi’s Minister of transport and public infrastructure.

Miamia
 
Yap! Nimekusoma. Wanakaribiana na wale wa kule lilipo soko la katerelo. Kule kwenye ndizi. Hivi huyo hana mwanya? Maana nasikia ni moja ya sifa yao.

unasikia hauna uhakika umbeya na ujinga wa kuamini kila unachoambiwa au kusikia
 
unasikia hauna uhakika umbeya na ujinga wa kuamini kila unachoambiwa au kusikia

Ujinga sio tusi. Wacha niwe mjinga katika hilo. Wewe ambaye si mjinga hebu nitoe ujinga ktk hilo. Je sio moja ya sifa yao? Toa tafiti/ushahidi juu ya jibu lako. Na je? Wale wote wanao anzisha thread kwa kuanza na neno 'TETESI' wakiwa na maana kwamba wamesikia fununu juu ya kitu fulani ambacho hakijathibitishwa tuwaite wajinga na watu wa majungu kwa kuleta mada za kusikia jamvini? Nasubiri hekima, werevu na ufahamu wako juu ya jambo hili. Ili uthibitishe kwamba wewe sio mjinga katika hili. Vinginevyo utakuwa unatumia kigezo kilekile cha ujinga kumkosoa mtu kwa mambo unayo yaita majungu na ujinga bila kujua kwamba wewe mwenyewe ni mjinga.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom