Indume Yene
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 2,968
- 728
Inashangaza watu wanapokwenda kuhudhuria semina au mkutano huku wakijua kuwa mawazo na umakini wake hautakuwepo. Sasa kuna haja gani ya kuhudhuria??? Posho hizi ni balaa.

![]()
Watu wanafuata per diem tu mambo ya semina au kikao yatajijua yenyewe