Naamini hii picha ni ya kufunguia mwaka, kijana huyu anaelewa umuhimu wa kutunza mazingira yetu ingawa hali yake kifedha ni duni.
Najua wengine watazungumzia hizo kamasi lakini ukweli ni kwamba hajapatikana mtaalamu wa kubadilisha hizo kamasi into GLUE. Huenda angefaidika na hiyo malighafi yake.
wengi wamepitia huko...wanapangusa kwa shati na game inaendelea
ilikuwa wapi hapo naona soil ipo fertile...anastahili zawadi na pia kama mbuzi hawajaupitia