Picha ya kufunga mwaka hiyo

Picha ya kufunga mwaka hiyo

Yani ss hivi watu wanavomchukia kikwete ni balaaa... aiseeee!!!! namshauri asije kujitokeza hadharani si ajabu raia wakampiga mawe. atulie tuu huko aliko
 
11143315_10153249875244135_8496411518466237345_n.jpg
[/QUOTE

MIKOANI HALI IKO JE??????????????????? MAANA HUKO NDIYO SHIDA ZAIDI
 
Hizi picha zimenifanya nione aibu kama mimi ndio mzee wa ruti nyingi.
 
Watanzania ni Mazuzu, tunajisahaulisha kirahisi, hatupo informed lakini wepesi wa kusifia tusivyovijua.

Hilo ni jengo jipya la ward ya wazazi, lilikuwa limekamilika na MSD wakaenda kufanya delivery ya vitanda na equipments nyingine.
Sio fedha za magufuli wala maagizo yake. Nendeni kule Mwaisela na Moi mjionee hali ni ile ile.

Sifa za kijinga zinalevya....
 
Weee, Manesi bado ni wale wale. Hata hivyo, shukrani kwa Mhe. Juma Duni Hajj

Mkuu wamebadilika huwezi amini, niliyoyakuta General Hospital Dodoma sikuamini, macho yangu, upendo wa madaktari na manesi kwa wagonjwa sijui umetoka wapi? Jamani kazi nzuri asikwambie mtu, yaani nawashauri mlioisusa General rudini mkapate tiba nzuri mimi ni mmojawapo niliisusa kabisa sasa nawafagilia, ahsante Raisi wangu sijutii kukuchagua
 
mm ni mshabiki mkubwa wa JK, lakini kwa kutokuwa mfatiliaji wa mambo ya muhimu simuungi mkono, alikuwa mpole sana na alipenda sana marafiki zake kiasi kwamba walimwaribia sana yy hakujua tu. Hata luwasa alikuwa rafiki yake mkubwa kamlea mpaka badae kaja kuwa mpinzani hatari kabisa wa ccm
 
Sitaki kuamini kwa picha ntk nikajionee mwenyewe,

Juzi juzi tu hapa Amana nimeng'oa jino kwa elfu 60,
Bado kupanga foleni sijui CRDB kufanyaje,
Aiseee km kweli kuna mabadiliko natamani niyashuhudie na isiwe Muhimbili tu iwe hospitali zote,

Pia ningeshauri madaktari na manesi wabadilishwe hasa wa Amana maana wale utu hawana hata chembe.
 
Back
Top Bottom