Cognitivist
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,057
- 2,099
Hata ile habari ya Trump kumpongeza Magufuli kama ilivyolipotiwa na tbc ukiitafuta Google utaipataFanyeni kutumia Google kidogo, hii habari ni trending leo kutwa nzima. Kwanini wabongo ni wabishi wabishi kama rais wenu ?
Sio 150 kweli? Maana wanyama wako watatuWANAELEKEA KWENYE MIA
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji377] [emoji377] [emoji377] [emoji124] [emoji125] [emoji125]kwahiyo hapo wameambiana wanaelekea wapi? maana kila mnyama alikua na hamsini zake..
au zimbabwe?
wewe mwenyewe hapo ni mbishi na umebisha mpaka umeenda ku-google vinginevyo ungeishia kuangalia tu hii post. ajabu hutaki sisi tubishe ili tujiridhishe zaid kama wewFanyeni kutumia Google kidogo, hii habari ni trending leo kutwa nzima. Kwanini wabongo ni wabishi wabishi kama rais wenu ?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Rais wetu naye Thomaso kama sisi...Fanyeni kutumia Google kidogo, hii habari ni trending leo kutwa nzima. Kwanini wabongo ni wabishi wabishi kama rais wenu ?
Labda Somalia. 😀kwahiyo hapo wameambiana wanaelekea wapi? maana kila mnyama alikua na hamsini zake..
au zimbabwe?
Wanaenda kupokea bombardierkwahiyo hapo wameambiana wanaelekea wapi? maana kila mnyama alikua na hamsini zake..
au zimbabwe?
Ugonjwa wa ubishi umesambaaFanyeni kutumia Google kidogo, hii habari ni trending leo kutwa nzima. Kwanini wabongo ni wabishi wabishi kama rais wenu ?