usinijibu hivyo
JF-Expert Member
- Nov 7, 2017
- 248
- 327
Huu Ni mchoro (rendering) ya jengo linalotarajiwa kujengwa.Nimeona Msaidizi wa PolePole Bw Petro Magoti ameposti picha na Ramani hii na kuandika ujenzi unaanza Tabora Mwezi huuView attachment 1224370
Mweh..siyo ramani..hii lugha inawezekana kuwa Ni ngumu kiasi hiki?Kumbe ni ramani tu!?
Nikajua limeshasimama kabisa!
Ujenzi huo unaanza instagramNimeona Msaidizi wa PolePole Bw Petro Magoti ameposti picha na Ramani hii na kuandika ujenzi unaanza Tabora Mwezi huuView attachment 1224370
😂😂😂😂😂😂Sasa kwanini hujapiga picha na jengo la Chadema hapo Tabora? Isije ikawa wana mjengo kama wa Toronto
Hahahaaa, dhihaka hiziSasa kwanini hujapiga picha na jengo la Chadema hapo Tabora? Isije ikawa wana mjengo kama wa Toronto
Mkuu CHADEMA Tabora sio kama tu hawana ofisi Bali hata wao hawapo kabisa huko.Sasa kwanini hujapiga picha na jengo la Chadema hapo Tabora? Isije ikawa wana mjengo kama wa Toronto
Wakamalizie lile gofu lao lipo tanga pale lamore karibu na shule ya msingi masiwani...Nimeona Msaidizi wa PolePole Bw Petro Magoti ameposti picha na Ramani hii na kuandika ujenzi unaanza Tabora Mwezi huuView attachment 1224370
Sasa kwanini hujapiga picha na jengo la Chadema hapo Tabora? Isije ikawa wana mjengo kama wa Toronto
Mkuu CHADEMA Tabora sio kama tu hawana ofisi Bali hata wao hawapo kabisa huko.
Tabora kuna matawi ya wakereketwa pekee....CCM ndo inaongoza Tabora
Mkuu CHADEMA Tabora sio kama tu hawana ofisi Bali hata wao hawapo kabisa huko.
Tabora kuna matawi ya wakereketwa pekee....CCM ndo inaongoza Tabora
Mkuu CHADEMA Tabora sio kama tu hawana ofisi Bali hata wao hawapo kabisa huko.
Tabora kuna matawi ya wakereketwa pekee....CCM ndo inaongoza Tabora
mali na viwanja vya ccm ni vilichumwa enzi ya chama kimoja.Hivyo ipo siku tutavirejesha kwa wananchiNimeona Msaidizi wa PolePole Bw Petro Magoti ameposti picha na Ramani hii na kuandika ujenzi unaanza Tabora Mwezi huuView attachment 1224370
Viwanja vya mpira viliishia kwenye michoro kama hiyo.Ccm bila EPA ESCROW KAGODA MSAMAHA WA KUINGIZA SUKARI BILA KODI,MABEHEWA YA TRENI FEKI hakuna pesa kabisaNimeona Msaidizi wa PolePole Bw Petro Magoti ameposti picha na Ramani hii na kuandika ujenzi unaanza Tabora Mwezi huuView attachment 1224370