Samwel Ngulinzira
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,829
- 1,958
Nmekaa Tabora mjini miaka 4 shule zao nyingi ni shule kongwe kama Tabora Boys, Girls, Mirambo, Kazima na zingine ambazo zipo kwenye hali nzuri...unaweza kukuta shule za Tabora hazina madarasa ya kutosha, madawati, chalk boards, etc etc lakini CCM wanaona ofisi ya fahari ndiyo kipaumbele.
Suala la madawati na chaki sijaona kama in changamoto kwa mkoa was Tabora. Labda kama kwa hivi karibuni baada ya elimu bure. Kipindi kile nilikua natembelea shule mbalimbali sijawahi kusikia shida ya madawati ingawa kuna kipindi ilitokea uhaba was mabweni T-Girls na vitanda T-Boys ambapo ilikua na sababu maalum.