Picha ya jengo la ofisi ya CCM mkoa wa Tabora,Chadema makao !

usinijibu hivyo

JF-Expert Member
Nov 7, 2017
248
327
Nimeona Msaidizi wa PolePole Bw Petro Magoti ameposti picha na Ramani hii na kuandika ujenzi unaanza Tabora Mwezi huu
IMG-20191005-WA0008.jpeg
 
Nimeona Msaidizi wa PolePole Bw Petro Magoti ameposti picha na Ramani hii na kuandika ujenzi unaanza Tabora Mwezi huuView attachment 1224370
Wakamalizie lile gofu lao lipo tanga pale lamore karibu na shule ya msingi masiwani...

Ujenzi wa lile gofu lilizinduliwa na mzee Ruksa mwaka 1992 na halijaisha mpaka leo...tulitembea kwa miguu kutokea pale mpaka Popatlal marking silver jubilee ya Popatlal mwaka huo wa 1992...
 
Mkuu CHADEMA Tabora sio kama tu hawana ofisi Bali hata wao hawapo kabisa huko.
Tabora kuna matawi ya wakereketwa pekee....CCM ndo inaongoza Tabora

Hivi ule uwanja wa Alli Hassan Mwinyi, ulikamilika au mnasubiri tena mfumo wa chama kimoja ndio muumalizie?
 
Mtaji wa CCM upo kwenye mikoa kama Tabora ambao ni moja ya mikoa masikini sana hapa nchini. Huwezi sikia ccm wanajenga jengo kama hilo mkoa kama wa Mara kwa sababu huko hawaitaki CCM.

Tuwaache ccm wazidi kuwashika Wanyamwezi na profesa wao Lipumba
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom