Picha: Wolper anaswa LIVE kwenye jengo la Freemasons

Picha: Wolper anaswa LIVE kwenye jengo la Freemasons

mumuwache freemason wa watu!
mwrnyewe kavaa koti lake refu af yupo ndani ya full blak!mumuwache!
ngoja amuite freemason mwenzie Ney wa mitego!
 
Kuna sehemu binamu hao mastaa wakienda wanaonekana ushuzi, kuna watu wana hadhi zao mjin apa

Hilo ni kweli binamu.Halafu wakibahatika kukaa na hao watu wenye hadhi zao wanavyohaha kupata namba zao za simu ni hatariii
 
Walijipiga picha babu wee, we unadhan posta wana mda mmchafu wa kufuatilia mastaa ushuzi mxiuuu
warumi...bora unisaidie kushangaa! Mi nimeishi huo mtaa wa sokoine 4 years kimasomo, hakuna wa2 wenye dharau na kujifanya wazungu kama wapita njia wa mtaa huo!! (maana mostly hakuna wakazi hapo) hapo pembeni ya hilo hekalu (wajenzi) kuna shoeshine mmoja (mangi) huyo ndo cha udaku grade one na ana namba za masupastar wote bongo (especially wachanaga wenzie!!) So nahisi ndo alimuita ili auze nyago kwenye udaku wa bamaga!

Ova.
 
Last edited by a moderator:

Wakapeleke uko ujinga wao mxiuuu eti freemason nyoo
 
Last edited by a moderator:
😕mwanamke kama huyo anawezaje kuwa mwanachama....??
 
Acheni kudanganya watu, toka lini wanawake wanaruhusiwa kuwa members wa freemason?! Uongo uongo tu
 
Hahahhahahaaha nmecheka saan hyo pic na miwan mkot wake labd alkua anaelekea ferry
 
Mbona milango ya hilo Jengo inaonekana imefungwa? Sasa aliungiaje? Au kuingia ndani ya compound ni kuingia ndani ya Jengo?

Hawa GPL na Wolper wanatengeneza michongo ili wauze magazeti na kugawana naye.

Vv
 
Upumbavu huu peleken facebook insta na kwenye miblog yenu....
Huku ni Home of great thinkers so hamuezi tudanganyishia ufala ... :thumbdown:
 
Back
Top Bottom