Picha: Wenza mbilikimo waliozaa "Mbilikimo" maradufu Uingereza wafunga ndoa

ni bora make wangetoa kitu kama Hsheem watu wangeanza kusema bibie alichepuka
 
Wale wa kongo ni Pygmies,haitokani na medical/biological mutation kama Achondroplasia, osteochondrodystrophy etc etc.
Mkuu wawweza elezea na kutofautisha hayo maneno matatu kwa kiswahili
Pygmies
Achondroplasis
Osteochondrodystrophy

Tofaut za hao.mbilikimo majina magen.kabisa mkuu
 
Mkuu sidhani kama naweza tafsiri yote kwa Kiswahili.Ngoja nijaribu maana sidhani kama kiswahili kimejitosheleza
Chondro--cartilage nadhani kwa kiswahili ni mfupa laini--lakini sina uhakika sasa Achondro ni bila Cartilage
plasia--formation
sasa Achondroplasia--bila mfupa laini
Osteochondrodystrophy---Osteo-mfupa---Chondro--angalia hapo juu--Dystrophy ----tissue of organ wasting away
Pygmies--kuwa mfupi bila genetic disorder-kama Congolese pygmies.
Sidhani kama niko sahihi kwa kila kitu ila kwa kuwa hili ni jukwaa la kuelimishana kama wa kuongezea aongeze na pia wa kukosoa afanye hivyo. Nashukuru mkuu
 
Shukran mkuu

Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu sidhani kama naweza tafsiri yote kwa Kiswahili.Ngoja nijaribu maana sidhani kama kiswahili kimejitosheleza
Chondro--cartilage nadhani kwa kiswahili ni mfupa laini--lakini sina uhakika sasa Achondro ni bila Cartilage
plasia--formation
sasa Achondroplasia--bila mfupa laini
Osteochondrodystrophy---Osteo-mfupa---Chondro--angalia hapo juu--Dystrophy ----tissue of organ wasting away
Pygmies--kuwa mfupi bila genetic disorder-kama Congolese pygmies.
Sidhani kama niko sahihi kwa kila kitu ila kwa kuwa hili ni jukwaa la kuelimishana kama wa kuongezea aongeze na pia wa kukosoa afanye hivyo. Nashukuru mkuu
Kumbe! Hawa walimu wetu bwana!, unajua mimi walinifundisha kuyameza hivyo hivyo...bila kunieleza maana yake...na mimi kumeza bila kuelewa mambo hayaendi. Kiutaratibu walitakiwa kutufundisha hiyo lugha ya maneno hayo ndiyo watumwagie hayo masayantific neimu. Nilikimbia Biology hivi hivi...! Wemeze majina ya mimea, wadudu fauna na flora wote bila kuelewa si wanakufanya chizi aisee...!
=====
Mfumo wa ufundishaji wa masomo ya sayansi ngazi za chini ubadilishwe kuelekea kumuwezesha mwanafunzi kuelewa badala ya kukariri.
 
lakini mambo mengi tunakaririshwa tu, hata Imani tumekaririshwa tu nazo!

ili usikaririshwe unatakiwa ufundishe misingi ya somo, halafu we ufanye mwendelezo, sasa kama kwenye imani,
Pale unapojaribu huhoji mambo magumu kwa ajiri ya kujifunza unaambiwa eti yaliyofichwa ni ya mungu, mi huwa sikubaliani na hizi mambo eti uamini tu hata kama hujaelewa na una maswali mengi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom