Shoga kidawa nae siku hizi Naona anarudi kwa kasi ya Corona, mbona anakua mzuri hivi, halafu ana mvuto wa ajabu, yan karudi kwenye level zake zile za miaka ya 2006/17. Sijui shoga angu kapata danga jipya au ndo mambo ya Tanga[emoji16]( ila mi nae mshirikina[emoji16]) .
Tunajua kuna mambo ya I phone 11 na editing , but tuseme tu ukweli, wema anarudi kwenye level zake, ingekua simu zinabadilisha watu hivyo shoga angu ebitoke nae angekua kama Beyoncé
Kwa huu muonekano domo asipokumbushia enzi Sijui , kusema kweli wema kabadilika kawa mzuri , tena wembamba now umemfit
zaidiView attachment 1388216View attachment 1388217
Sent from my iPhone using JamiiForums
jaman kweli? Nani atapona? Anajitahidi ila anajuwa ukweli saa ina soma mida ya hatari. Vijana kuna somo hapaShoga kidawa nae siku hizi Naona anarudi kwa kasi ya Corona, mbona anakua mzuri hivi, halafu ana mvuto wa ajabu, yan karudi kwenye level zake zile za miaka ya 2006/17. Sijui shoga angu kapata danga jipya au ndo mambo ya Tanga[emoji16]( ila mi nae mshirikina[emoji16]) .
Tunajua kuna mambo ya I phone 11 na editing , but tuseme tu ukweli, wema anarudi kwenye level zake, ingekua simu zinabadilisha watu hivyo shoga angu ebitoke nae angekua kama Beyoncé
Kwa huu muonekano domo asipokumbushia enzi Sijui , kusema kweli wema kabadilika kawa mzuri , tena wembamba now umemfit
zaidiView attachment 1388216View attachment 1388217
Sent from my iPhone using JamiiForums
Wema ni mzuri sana,shida yake ni akili yake,hajielewi,haendi na wakati,hajitambui,hata ukisema umuoe ni majanga sana huyu dada,angetulizana na mambo ya attention,ingemsaidia sana ku add value yake...
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo mwili ndio umeendana na miguu yake sasa
#NoOffence