PICHA: Waziri wa Ujenzi, Makame Mbarawa akishangaa nyumba iliyojengwa Juu ya Reli

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,696
22,729
Waziri Makame Mbarawa akishangaa kuona Mtanzania huyu aliyejenga nyumba yake juu ya Reli.

f3e8e324-714b-4d86-a1e2-b639e778c972.jpg
c89bfd14-30c0-4cad-ad4a-e2d7140b0a6e.jpg

My take : Haya ni Matokeo ya kutoendeleza miundo mbinu ya reli zetu kwa muda mrefu!
 
Jamani, kuna watu ni kiboko, wamejenga nyumba katikati ya reli...Mbarawa kabaki mdomo wazi
d34c532cd70d87b240f442b925c8aac3.jpg
5ee5ff308f24d9fd55f61846659ec429.jpg
 
Hii imetokea wap??

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Jamani, kuna watu ni kiboko, wamejenga nyumba katikati ya reli...Mbarawa kabaki mdomo wazi
d34c532cd70d87b240f442b925c8aac3.jpg
5ee5ff308f24d9fd55f61846659ec429.jpg



Halafu utakuta ni nyumba ya karibia milioni 200 kesho ikibomolewa na aliidhinisha nyumba kujengwa kufukuzwa kazi utaona vilaza Zito, chadema, Lisu &Co.wakiigia br,. kupinga na Tundu lisu kwenda kumteteta Bungeni!
WatanZania sisi bado IQ ni ndogo sana, yaani IQ yetu haitoshi bado kwenda na mfumo wa Dunia unavyokwenda!
 
Back
Top Bottom