Picha: Waziri Ummy awapigia magoti wanakijiji kumuombea kura mgombea wa CCM, Dk Mollel

Huyu mama mnyenyekevu sana mbele ya jamii lakini hivi alivyofanya siyo nzuri kwani alitakiwakutumia ushawishi wake.
Hii picha inaonyesha km vile aliwakosea watu hawa kitu fulani.
Kuna ajabu gn kuwakosea? Hujawahi kukosea?
 
Wanahitaji mkurugenzi tu miujiza ya nini?
 
Mambo ya kampeni hayo
Na ndo kampeni
Mbwe mbwe nyingi Sio yakushangaza hayo
 
Ukiona hvyo ujue mambo ni tight kwa mollel sasa hvy inakula kwake ili iwe fundisho kwa wengine wanao rubuniwa
Wazee walimwambia kuwa alishapewa sehemu ya shamba lake akaliuza. Sasa karudi nyumbani kwa wazazi anaomba agaiwe sehemu ya wengine. Wamasai wamemwambia akome kabisa hana lake tena.
 
Wazee walimwambia kuwa alishapewa sehemu ya shamba lake akaliuza. Sasa karudi nyumbani kwa wazazi anaomba agaiwe sehemu ya wengine. Wamasai wamemwambia akome kabisa hana lake tena.
Huku kaskazini ni hawapat kitu zaid yakuongeza asira kwa wapiga kuraa
 
Magoti ya nini madam wakati kura nyingi ndio zitakazotangazwa za Mollel kama kwingineko?
 
Anapiga magoti kuomba wananchi wamchague kiongozi aliyejiuzulu ubunge ili agombee tena ubunge. Pathetic!
 
Miteule ya baba bashite jinga kabisa
 
Shida wakati Wa uchaguzi wananchi wanakuwa hawana wanachoona huishia kufanya maamuzi ambayo baada ya miezi tu wanaanza kulalamika
 
na huyo huaa anapiga magoti kama hivyo?
Jamani kupiga goti kwa.mwanamke ni kawaida kwa destury yetu Africa.
Sema wa bongo wameathiriwa na western culture.
Na ndio maana marecan anaraisisha Google kwa wa Africa ili tusiwe bize na rasilimali zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…