Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 25,975
- 25,288
...
Kitu live !!!
Kitu live !!!
Gharama zetu za ujenzi tutarudishiwa.
Siasa za kijinga. Mimi siyo ccm ila siungi mkono upumbafu huu. Ujinga kama huu ndio chanzo cha machafuko. Siku wabomoaji wakibomolewa itakuaje??
Naunga mkono hoja!, huu ni uhuni, na waliofanya kitendo hiki ni uhalifu na wachukuliwe kama wahalifu wengine wowote bila kujali itikadi zao za kisiasa!, na ni watu kama hawa ndio wanaotia doa baadhi ya vyama kuonekana kama ni vyama fujo, vurugu na kuhatarisha amani!, kumbe sio vyama bali ni wahuni wachache kwenye vyama hivyo!.Siasa za kijinga. Mimi siyo ccm ila siungi mkono upumbafu huu. Ujinga kama huu ndio chanzo cha machafuko. Siku wabomoaji wakibomolewa itakuaje??
Siasa zimewashinda kwa sasa mmebakia kubomoa kuta.
Watu wenye hekima na busara kama Mark Twain walishatuasa na kusema, Never argue with stupid people, they will drag you down to their level and then beat you with experience. CCM haitaenda huko mnakotaka kuipeleka.
CCM itaendelea kufanya siasa zenye matokeo chanya ndani ya sanduku la kura kama ilivyo tokea mwaka 1995 mpaka leo.
Kazi ya kubomoa kuta tunawaachia ninyi lakini mnatakiwa muelewe kuwa, mkono wa vyombo vya usalama ni mrefu.
Kuna baadhi yenu kwa sasa bado wako magerezani baada ya kufanya kazi kama hii mliyoifanya.
Ingawa mimi ni Chadema damu damu lakini kitendo hiki si cha kistaarabu! usimtendee mwenzio usiyopenda kutendewa.
2015..............CCM.................MUST.............GO
Huyoo atakuwaa ni mpumbavu mmoja tu ndo kafanyaa hvyoo..
Harafu eti ndo mnachukulia point hapo eti Ccm imechokwa. Jisemee ww mwenyewe usiwasemee wengine.
...
Kitu live !!!
![]()