BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,511
- 11,911
huoni kuwa ni uchafu wa miji, barabara kujenga vitu kama hivyo? Pasco MSALANISiasa zimewashinda kwa sasa mmebakia kubomoa kuta.
Watu wenye hekima na busara kama Mark Twain walishatuasa na kusema, Never argue with stupid people, they will drag you down to their level and then beat you with experience. CCM haitaenda huko mnakotaka kuipeleka.
CCM itaendelea kufanya siasa zenye matokeo chanya ndani ya sanduku la kura kama ilivyo tokea mwaka 1995 mpaka leo.
Kazi ya kubomoa kuta tunawaachia ninyi lakini mnatakiwa muelewe kuwa, mkono wa vyombo vya usalama ni mrefu.
Kuna baadhi yenu kwa sasa bado wako magerezani baada ya kufanya kazi kama hii mliyoifanya.
Last edited by a moderator: