waliitwa warangi kwa sababu ya kuzaliwa na wageni wakati wa nyuma na kutofautiana rangi na watu wa asili(weusi)hata kwenu kama kuna wachina wanajenga barabara baada ya miaka kadhaa mtakuwa na warangi.
Wawili hapo juu nawafahamu, wapo Arusha!
Na kaka zao kwa usafi wa kanda mbili utawapenda. almaarufu jooriy
DuhWanatatizo la kukasirika haraka na kuzira. Ni wazuri kwa kugonga pia ingawa kwa 6 x 6 sio wataalam, ni kama vile hawana hisia kali za mapenz.
Niwekee picha ya miguu yao tafadhali!!!!!!!
kila kabila wapo wenye sura za kupendeza na mbaya pia,hata mimi nikichagua picha nzurinzuri za wasuKUMA wenzangu mbona utapagawa!
Umepinga kibabeHakuna msukuma mzuri

Huyo mwenye nguo ya rangi ya blue sio mrangi.
Umewajuaje kama ni wazuri kwenye picha? Yaelekea wewe ndio unachanganya urembo na UZURI. Uzuri wa mtu uko ndani yake, kwa ayawazayo, ayafanyayo na hata ayatarajiayo. Urembo ni ule tuuonao kwa macho, na ndio unatusumbua kiasi kuna wenzetu badala ya kuoa MKE, wameoa MATAKO na sasa wanajuta.Hizi ni toto za kihabesh...na hawa siyo warembo bali ni wazuri. Tambua urembo na uzuri ni vitu viwili tafauti.