Urembo wao ni rangi na uzuri wa sura tu, hebu wapige picha toka kichwani hadi miguuni, hebu wageuze thn ndo utasema, kila jamii imeberikiwa kwa namna yao, wengne sura, rang, hata maumbo mazur
Mkuu kuna sheikh mmoja maarufu sana anaitwa Hilal Kipoozeo duh ana maneno sana nenda youtube andika sheikh Kipoozeo basi hapo utapata kazi zake nyingi sana .
Warangi, Wambulu, Wanyaturu, ni jamii za Wairaque wa Tanzania, wanawake wao ni wazuri kwa sura, weupe, pua za kisomali na nywele za singa!, warefu, wembamba,ila hawana leggy line, kwa uzuri sura, weupe na uzuri wa kupendeza machoni, kiukweli kabisa ni wazuri sana, na pia wamejaaliwa kuna wana roho nzuri, ila ...
Pasco
nenda kondoa utawakuta kibao...kazi kwako tu kujitafunia. Smile na Passion Lady njooni uku mnatafutwa au mshatimkia kijijini? Pia Ye Soya jiandae maana na wewe pia watafutwa huku