yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,901
- 4,129
Hiki kizazi hiki… mmh sijui
kwa watu wakubwa ni kuibiana tu kuwa mnapendana ila kwa watoto wadogo kama hao ninadhani ni moja wapo ya upendo na kujali!Hivi kufungiana viatu ndio kuwa na upendo wa kweli?
Naona wimbi la picha za namna hii zinazidi kuongezeka , unakuta mwanamme anamtengenezea kiatu mwanamke. Seriously huku ndiko tulipofikia kwnye definition ya upendo??
To me , this is just so wrong..
Hapo nakubaliana na wewekwa watu wakubwa ni kuibiana tu kuwa mnapendana ila kwa watoto wadogo kama hao ninadhani ni moja wapo ya upendo na kujali!
Ilikwisha tolewa ufafanuzi picha haikuwa ya Dc Makonda. Mbona mnaendeleza kitu kisicho cha kweli? Mbona mnamuandama sana Makonda. Au kosa Kupata Cheo akiwa na umri mdogo kjamani.Mi naamini amepata cheokwa bidii yake na aikili yake na ubunifu wake. Kwa kuwa ilikwishatolewa maelezo si yeye nadhani haina haja kuendeleza kitu ambacho ni cha uongo!Hiyo ni picha ya D.Ç m.a.k.o.d.e akiwa mdogo? Kumbe kaanza zamani kufunga gidam.
Mbona jinsia pinzaninimeyapenda malezi ya wazazi wa mtoto huyu wa kiume!
![]()