Picha: Wananchi wakinunua kadi za ACT wazalendo kwenye kampeni.

mimi nimemjibu mtu aliyesema kuwa ACT ndiyo chama kikubwa cha upinzani wewe ukadandia dyudyu kwa mbele,
kazi yangu mimi ni kutwanga tu mpaka nisikie harufu ya mafla ndiyo nikuachie.
Ungeendelea kumjibu yeye na sie mie....wewe ndie umedandia treni kwa mbele na tunakugonga mbele na nyuma.

Uzi wa wazalendo huu.
 
Hizo kadi wanavyonunua kuna kumbukumbu sahihi au wananunua kama tunavyonunua vocha dukani?
 
Naona mmezoea kusuguliwa Kisongo.....mtafuteni Ben. Hasira zenu msimalizie kwa wasiohusika.

Kama huna hoja nenda kwenye uzi wa basha wako anayesota Kisongo.

tayari umepanic.

hii ndiyo harufu ya mafla niliyokua naitafuta, haya punguza jazba.
 
Watanzania ukiwaambia jambo hapo hapo wanakuwa na muamko kisha baada ya muda wanarudi mwanzo, mliwapa moyo wakajiona watashinda viti vya ubunge kama 15 baada ya hapo mlivyo wapiga chini ni balaa.
Ila ninachowakubali waTz kwa kumtia moyo mtu haaa hapo hamjambo.
 
Kuna baadhi ya watanzania CCM ilishakuwa kama madawa ya kulevya kwa teja hawawezi kiachana nayo vivyo hivyo kwa M4C
 
tayari umepanic.

hii ndiyo harufu ya mafla niliyokua naitafuta, haya punguza jazba.
Wewe ndio umepanic....siasa za matusi mmezizoea .....nilishakupuuza zamani....

Hoja ni kuwa wananchi wananua kadi za ACT wazalendo kwa wingi
 
Back
Top Bottom