Picha: Wananchi wakinunua kadi za ACT wazalendo kwenye kampeni.

Kukiwa na vyama vitatu vyenye nguvu zinazokaribiana, Ukawa, ccm na ACT, definitely ccm wanaenda kushinda kiulaini. Upinzani ukiwa wamoja 2020 hata wakikodi jecha 5 ccm hawatoki; mambo mtaani yameharibika sana.
Acha kujidanganya....shida ni tume ya uchaguzi na katiba dhaifu.
 
okey wewe mkweli unaamini ACT ndiyo chama kikubwa cha upinzani kuliko vyote Tanzania??

watetezi wa ACT mko too low mnamtia aibu Zitto
Wapi nimesema ni chama kikubwa....usiniwekee maneno mdomoni.

Usihamishe magoli.....ujumbe ni wananchi kununua kadi za ACT wazalendo kwa wingi.
 
okey wewe mkweli unaamini ACT ndiyo chama kikubwa cha upinzani kuliko vyote Tanzania??

watetezi wa ACT mko too low mnamtia aibu Zitto
Bora sie....kuliko nyie bendera hufuata upepo. Mbowe akikohoa tu nyie hata hamfikirii......mifano ipo mingi.
 
Wapi nimesema ni chama kikubwa....usiniwekee maneno mdomoni.

Usihamishe magoli.....ujumbe ni wananchi kununua kadi za ACT wazalendo kwa wingi.

mimi nimemjibu mtu aliyesema kuwa ACT ndiyo chama kikubwa cha upinzani wewe ukadandia dyudyu kwa mbele,
kazi yangu mimi ni kutwanga tu mpaka nisikie harufu ya mafla ndiyo nikuachie.
 
yes kibatari kilizima tukapata mbunge mmoja tu Kigoma.
Acha akili za yule mnyama avukae Masai Mara......huyo si umetoka kumuita taa ya treni?....ushabadili gia angani

Naona mnaanza kugombana na Kubenea baada ya taarifa yake kule halisi.
 
Back
Top Bottom