Chama kikuu cha upinzani ndani ya mioyo ya watanzania ni ACT Wazalendo.
Na siyo wale matapeli wabadilisha gia za angani na watetea mafisadi wa ufipa
kwanini Mkuu?Duh, hatua nzuri lakini diplomasia nzuri isipotumika, 2020 tutaandika miaka 5 mingine ya kusoma namba.
Chama chenye mbunge 1 na madiwani 10 nchi nzima.Chama kikuu cha upinzani ndani ya mioyo ya watanzania ni ACT Wazalendo.
Na siyo wale matapeli wabadilisha gia za angani na watetea mafisadi wa ufipa
Ila ina mwanga mkali kuliko vibatari vyenu mia vyenye mwanga hafifu.
Kukiwa na vyama vitatu vyenye nguvu zinazokaribiana, Ukawa, ccm na ACT, definitely ccm wanaenda kushinda kiulaini. Upinzani ukiwa wamoja 2020 hata wakikodi jecha 5 ccm hawatoki; mambo mtaani yameharibika sana.kwanini Mkuu?
Huipendi kweli ACT.....
Lakini pia kina umri wa mwaka mmoja tu.Chama chenye mbunge 1 na madiwani 10 nchi nzima.