Picha - Wanakoelekea CCM ni mwanguko usiotarajiwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha - Wanakoelekea CCM ni mwanguko usiotarajiwa

Discussion in 'Jamii Photos' started by Candid Scope, Jul 26, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Jul 26, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
  [​IMG]

  Vituko juu ya vituko, CCM ina mambo gani? Najiuliza maswali yasiyopata jibu la moja kwa moja.
   
 2. B

  Bob G JF Bronze Member

  #2
  Jul 26, 2012
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 2,354
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ccm imejimaliza yenyewe, na haina mtu anaeonekana kuitafutia dawa iamuke na badala yake wamemkabidhi mtoto Nape mpaka aje awe mzima na akili itakua ccm imebaki kwenye maandiko 2 na kuwa historia
   
 3. Philipo Kidwanga

  Philipo Kidwanga Verified User

  #3
  Jul 27, 2012
  Joined: Jul 12, 2012
  Messages: 2,063
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  na hii ishu ya nssf wasipoangalia itazidi kuwazamisha.
   
 4. Mangaline

  Mangaline JF-Expert Member

  #4
  Jul 27, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 1,052
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  nyinyiemu ilikwisha anguka, bado kuzikwa tu, mazishi ni 2015.
   
 5. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #5
  Jul 27, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Kichekesho anayemwinua kwa mkono mmoja aliyeanguka anaangaliwa mgingine, ni mzaha kumwinua kwa mkono mmoja badala ya kutumia mikono yote miwili, Nape peke yake ataweza?
   
Loading...