Wakina mama wakisubiri kujifungua,jamani hii ndio serikali ya magamba ccm inajivunia miaka 50 ya uhuru???hizo gharama za kumteka na kumwumiza vibaya docta ulimboka zingetosha kununua vitanda 5,haya safari ya huyo msafiri vasco dagama na msafara wake zisingetosha kuwanunulia hawa mama zetu vitanda??hizo hilo zilizokutwa uswis za hao majambazi wa ccm hazitaweza kununua vitanda vya wakina mama nchi nzima????
Kwani hizi pesa za radar zilizo rudishwa kila Hospitali ya mkoa wasipewe Tshs 2,000,000,000/= ( two billion) kuongeza wards kubwa na za kisasa kwa ajili ya wajawazito na watoto???? Kwa nini viongozi wetu wasiwe na huruma na watu, madaktari wanadai vifaa na huduma bora kwenye mahospitari kwa nini lakini, ilikuwa kosa kuwaweka madarakani?????Wakina mama wakisubiri kujifungua,jamani hii ndio serikali ya magamba ccm inajivunia miaka 50 ya uhuru???hizo gharama za kumteka na kumwumiza vibaya docta ulimboka zingetosha kununua vitanda 5,haya safari ya huyo msafiri vasco dagama na msafara wake zisingetosha kuwanunulia hawa mama zetu vitanda??hizo hilo zilizokutwa uswis za hao majambazi wa ccm hazitaweza kununua vitanda vya wakina mama nchi nzima????
TENA HAPA NI PALE HOSPITALI YA RUFAA KUBWA KULIKO YOTE KWENYE HIYO NCHI. KUNA WAKATI NILIWAKUTA WAGONJWA WENGINE WAKIWA WANAANZIA KULALA ENEO LILILOPO BAADA TU YA KUMALIZA NGAZI (LANDING) NA WANAJAA CORRIDOR MPAKA WODINI. Ni aibu, aibu, UDHAIFU, UDHAIFU na UFISADI...