Picha: Waarabu walichofanyia babu zetu

Sad walahi
Alafu kuna mijitu mijinga bado ina fikiria eti watapata Demokrasia kupitia kwao, never, mdhungu kaa naye kwa hekima na busara kuu walahi!
 
Naona kuna picha za Wazungu pia...
Ngoja waje Waarabu Weusi....
hao waarabu weusi" waone huruma tu", ni athari ya mabaki ya ukoloni toka kwa mabwana zao wakiarabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…