Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 7,916
- 14,641
Na flyover watajenga chatoMkoa mzima wa Ruvuma hamna mbunge wa upinzani. Kura zote tuliwapa CCM Na hiyo ndio shukrani yao.
Sisi ni among top four feeders wa nchi hii, Chato Haina mchango wowote lakini wao wanapelekewa Kila kitu, traffic lights, international airport, hospital ya rufaaa etc sisi Wana Lizombe tumetelekezwa mavumbini
Chato kuna upakoNa flyover watajenga chato
Una nguvu Bujibuji?
Jamani huu uwanja si salama kwa Abiria wanaoutumia, pia si salama ka ndege Na wahudumu wake.
Tunachokitafuta tutakipata siku si nyingi.
CCM tuwape nini mridhike? Kama ni kura mbona zote tunawapeni? Tuoneeni huruma, Rais wa Chato ndio Rais wa Songea pia, sisi hatuna Rais mwingine kama kule Mbeya.
Na mimi ni chama Chetu wana LizombeUna nguvu Bujibuji?
Wenye Chama chao wanakupimia tu!!!
Mnachekeleaga kuuza sura kwenye tv na suti fupi zile na mkimaliza kucheza mnazawadiwa viatu vyeusi na kiwi basi! Anikeni mahindi hapo!Tunacheketua viuno vyetu lakini wao wanatuacha mavumbini
Hivi hapa ndio bajaji ili kosa kosa ndegeMkuu mbona huo mzuri...
Utizame huu wa Sumbawanga..
Watoto...watu...mifugo..bajaji...
CCM tumewapa nchi miaka 55.
View attachment 690052 View attachment 690053
Wanataka wa kubebea ngoma ya Lizombe,Feo bus tu hawapandi sembuse ndege,kwanza watumie uwanja wa Songwe halafu wapande Nganga Bus kwenda Songea au washuke Kyela wapande meli wakashukie Mbamba Bay.Hawa jamaa wamekosa fadhila kwenda Songea ukipitia Dar ni lami,ukipitia Tunduru ni lami halafu eti upeleke FastJet Songea labda atapanda Bujibuji peke yakeSongea mnataka Uwanja wa kazi gani¿¡
Ni matumizi mabovu ya fedha kujenga uwanja wa ndege Songea.
Songea mnataka Uwanja wa kazi gani¿¡
Ni matumizi mabovu ya fedha kujenga uwanja wa ndege Songea.
Ndio vizuri airport inatakiwa iwe busyMkuu mbona huo mzuri...
Utizame huu wa Sumbawanga..
Watoto...watu...mifugo..bajaji...
CCM tumewapa nchi miaka 55.
View attachment 690052 View attachment 690053
Ninavyokueleza haya niko Songea na nina uhakika na ninayoyasema.
Kwokii? Ndio wapi?Kawoli upooo!!! Wewe lazima nyumbi bombiii, hahahaaaa!! Hilo jina babu yangu alipendaga sana kutumia eti "kawoli yeee kwoki" yaani pilipili yenyewe iko wapi!! Moniliiii, hahahaaa