Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,144
- 166,082
- Thread starter
-
- #21
Kwa mateso tuyapatayo Ruvuma lazima niwe ovyo tu kama wewe ulivyo Huko nyumaHivi ulifaulu mitihani yako kweli wewe?. Umeulizwa hivi unajibu vile, ovyo kweli wewe!
Huu ndio Bajaj iligongwa Na ndegeMkuu mbona huo mzuri...
Utizame huu wa Sumbawanga..
Watoto...watu...mifugo..bajaji...
CCM tumewapa nchi miaka 55.
View attachment 690052 View attachment 690053
Huu ndio Bajaj iligongwa Na ndegeMkuu mbona huo mzuri...
Utizame huu wa Sumbawanga..
Watoto...watu...mifugo..bajaji...
CCM tumewapa nchi miaka 55.
View attachment 690052 View attachment 690053
Ukijengwa wapi ndio yatakuwa matumizi mazuri ya fedha?Nako Chattle ni matumiz mabaya ya fedha za umma lakin haiwi sababu ya kufanya hivyo na Songea.
Lakini Chato ndiyo anakotoka mkuu wa nchi, huvyo unaweza ukaona jinsi kuluvyo muhimu zaidi.Ruvuma ni muhimu sana kwa nchi hii kuliko Chato. Sisi tunalisha nchi
Kuna wawakirishi wa chama tawara tu wabunge hakuna.Hivi Songea hawana wabunge?
Mkuu kumbe wewe wakunyumba!! Nyumbii bombii hahaaaRuvuma ni muhimu sana kwa nchi hii kuliko Chato. Sisi tunalisha nchi
Viwanja viko wapi ? Mbona mnatuonyesha mashamba?Mkuu mbona huo mzuri...
Utizame huu wa Sumbawanga..
Watoto...watu...mifugo..bajaji...
CCM tumewapa nchi miaka 55.
View attachment 690052 View attachment 690053
Kitaalamu kwa uzito wa ndege zinazotua hapo na wingi wake,hakuna tatizo lolote,kwa ufupi mpo salama
Jamani huu uwanja si salama kwa Abiria wanaoutumia, pia si salama ka ndege Na wahudumu wake.
Tunachokitafuta tutakipata siku si nyingi.
CCM tuwape nini mridhike? Kama ni kura mbona zote tunawapeni? Tuoneeni huruma, Rais wa Chato ndio Rais wa Songea pia, sisi hatuna Rais mwingine kama kule Mbeya.
Uzuri mimi huwa sipandagi ndege wanapanda wao wenyewe
Jamani huu uwanja si salama kwa Abiria wanaoutumia, pia si salama ka ndege Na wahudumu wake.
Tunachokitafuta tutakipata siku si nyingi.
CCM tuwape nini mridhike? Kama ni kura mbona zote tunawapeni? Tuoneeni huruma, Rais wa Chato ndio Rais wa Songea pia, sisi hatuna Rais mwingine kama kule Mbeya.
Cc LizaboniMkoa mzima wa Ruvuma hamna mbunge wa upinzani. Kura zote tuliwapa CCM Na hiyo ndio shukrani yao.
Sisi ni among top four feeders wa nchi hii, Chato Haina mchango wowote lakini wao wanapelekewa Kila kitu, traffic lights, international airport, hospital ya rufaaa etc sisi Wana Lizombe tumetelekezwa mavumbini
Kumbe ndiyo maana shirika letu la ATCL linapata hasara. Jitahidi mara moja moja uoande ili tupunguze hasara mkuuUzuri mimi huwa sipandagi ndege wanapanda wao wenyewe
Hivi mello nikilitukana jitu kama hili utanipiga ban tena???Mtoa mada unanifanya niamini kuwa hukutoa mada hii kwa lengo jema bali una hasira zako tu na huyo unayedai kuwa Rais wa Chato. Uwanja huu ni kweli wa siku nyingi na tayari serikali imeuingiza kwenye mpango wa ukarabati mkubwa na soon tunategemea utafanyiwa ukarabati huo. Mbali na mpango huo mkubwa, ukarabati mdogomdogo wa mara kwa mara umekuwa ukifanyika kuhakikisha ndege zinatua bila matatizo. Ninavyokueleza haya niko Songea na nina uhakika na ninayoyasema. Acheni uchochezi usio na miguu wala kichwa!! Yote kwa yote Dkt John Pombe Magufuli ndiye Rais wetu na tunamkubali kwa kazi nzuri ya kuyaminya majizi na mafisadi na kututetea wanyonge. Pigeni kelele sisi hapa kazi tu!!