Picha - utamaduni wa Kilimanjaro hautetereki

Candid Scope

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
11,890
6,898
BEN3.jpg

Kijijini Keryo Rombo.Hivi ni vifaa vya kunywea mbege.Mdau nimesahau jina lake la kilugha.wanaotokea huko watusaidie
 
BEN3.jpg

Kijijini Keryo Rombo.Hivi ni vifaa vya kunywea mbege.Mdau nimesahau jina lake la kilugha.wanaotokea huko watusaidie

Yes!!
Ila cku hizi hazitumiki saana, maboora yamekuwa mengi na bei poa!
Hiv zile kahawa ndeeeefuu bado zipo kyero??
 
Sio 'kata'? Manake nadhani ziko sehemu kadhaa kwa ajili ya kuchotea maji.
Sasa zote hizo, hapo ni kilabuni ama nyumbani? Kha!
 
Sio 'kata'? Manake nadhani ziko sehemu kadhaa kwa ajili ya kuchotea maji.
Sasa zote hizo, hapo ni kilabuni ama nyumbani? Kha!

Naam mkuu mimi najua zinaitwa kata,pia usishangae ukaambiwa zote hizo zipo nyumbani kwa mtu
 
ndiyo maana yake zipo nyumbani kwa mtu, kwanza huyo jamaa ana stock ndogo ...
 
Kule kwetu kirua tunaviita Kipata (singular) Shipata (plural).... Umenikumbusha mbali....haya mabohora ya kichina ni kwenye mabaa zaidi lakini kristmass pale home kile kiwari ukikinywea kwenye kipata mambo yankuwa bariiidiiiii.....
 
Zana za kuhifadhia pesa za biashara ya bia za kenya miaka ileeee....wakati huo kunywa bia kila siku kwa wiki lazima uwe matawi ya juu
 
Back
Top Bottom