Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Kuna wafugaji wachafu sana. Yaani anafuga nguruwe kama anafuga fisi bhana. Uchafu zero kabisa.
Kitimoto inatoka mazingira haya lakini ikichinjwa huko mtaani watu wanagombania na inagombanisha watu.
Hapa nguruwe hawa wamelala usingizi baada ya kushiba chakula chao.