PICHA: Unaweza usile tena kitimoto.Kuna wafugaji wachafu sana

Kuna wafugaji wachafu sana. Yaani anafuga nguruwe kama anafuga fisi bhana. Uchafu zero kabisa.

Kitimoto inatoka mazingira haya lakini ikichinjwa huko mtaani watu wanagombania na inagombanisha watu.

Hapa nguruwe hawa wamelala usingizi baada ya kushiba chakula chao.

View attachment 619269
b94f06293767d7860b0a460c3c0d54a1.jpg
+ bapa
2633d4035ccc97dabf2fe845024d14a9.jpg
au ushushie
bdc050c27b61db1c19824adcd3dd3f73.jpg
baridii
 
Kitimoto inatoka mazingira haya lakini ikichinjwa huko mtaani watu wanagombania na inagombanisha watu.

Hapa nguruwe hawa wamelala usingizi baada ya kushiba chakula chao.

Usishangae nao wanakushangaa ulivyokwenda hapo umejipodoa
 
Hayo matope ndiyo yanayofanya nyama yake iwe tamu. Angekuwa msafi, nyama ingekuwa ya kawaida tu kama ya ng'ombe
 
Acha uongo bhana, nyama tamu kuliko zote duniani ni K tuu, we imagine kitu hakishibishi lakini watu wako tayari hadi kutoana roho ili wakipate?!
Tatizo la K zipo tofauti mkuu. Kuna zingine ukishapiga hutamani kurudia. Zingine zina maji mengi, zingine zimetembea kilometa nyingi sana, kwahyo ili uifurahie lazima uwe na bahati, NI KAMA UNABET VILE.

Ila kitimoto hata atoke mkoa gani, akikutana na mpishi mzuri, aisee ni noma. Kuna mmoja niliwahi kula nikiwa Mbeya, Kwa VAMPONJI. Aisee yule jamaa popote alipo Mungu ambariki na ampe maisha marefu. Alimtendea haki yule mdudu kupita maelezo.
 
In most cases.vitu vichafu ndiyo vinaoongoza kwa utamu.umewahi kujiuliza uchafu uliopo katika vile viungo unavyo rambagarambaga kama Mbwa mkiwa faragha na mwezako.
 
Mkuu nipo pembeniyako hapa nacheki mechi ya swansea na asenal nameagiza kilo nzima na bapa hapa
Ah kula tano mwanangu. Ningejua kona ulipo ningekuja kukulipia bapa nyingine.
Kitimoto oyeeeeeeeeee.
Wanavozidi kumsimanga ndo tunavozidi kumtafuna
 
JARIBU SIKU MOJA NENDA MAMA NTILIE PALE KARIAKOO.HUTAKULA TENA CHAKULA PALE.MAJI MACHAFU, MAJIKO KARIBU NA CHOO NA INZI AKITOKA CHOONI STOP YA KWANZA NI JIKONI, WAPISHI ANATOKA CHOONI ANANUKA MAVI NA KASHIKA INJINI ZAKE YAANI UKIFUATILIA KILA KITU UTABAKI UNAKULA NYUMBANI TU.TUNALISHWA UCHAFU KILA SIKU
 
Kuna wafugaji wachafu sana. Yaani anafuga nguruwe kama anafuga fisi bhana. Uchafu zero kabisa.

Kitimoto inatoka mazingira haya lakini ikichinjwa huko mtaani watu wanagombania na inagombanisha watu.

Hapa nguruwe hawa wamelala usingizi baada ya kushiba chakula chao.

View attachment 619269
Uchafu zero inamaanisha nini? Ulimaanisha hakuna usafi?
 
Kamanda!!

Hizo picha si kwamba ni tukio la juzi, mvua za Dar es salaam..

Mimi Kuna mtu alinijuza kuhusu picha hizo, kwamba ni Matokeo ya mvua kubwa ya juzi.
Jamaa kaamua tu kuharibu taswira ya mazingira ya Nguruwe,
 
Back
Top Bottom