Picha: Umegundua nini kwenye hii picha?

Picha: Umegundua nini kwenye hii picha?

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,197
Reaction score
14,902
20240606_112714.jpg
 
Nilichogundua ni kuwa Hawa viongozi Huwa hawaielewi mikataba inataka Nini ndiyo maana kunawapuuzi wengine huuza Hadi Nchi zao.mfano yule aliyeuza bandari yake na hekta milioni 8 za mistu Kwa kupewa mkopo.
 
Ha ha ha! Jameni comments zinanivunja mbavu....
 
Nilichogundua sisi watu weusi tuna pua za kipekee sana, pia zina matundu mapana ya kupitishia kamasi.
 
rais atakayefuata baada wa huyu tutegemee kuanza kulalamika, wakati na yeye pia alikuwa ni sehemu ya bunge
 
Sheria za kuwa rais zibadilike,
Rais awe na degree 2 with atleast 3.5 GPA
 
Back
Top Bottom