Picha: Ulishawahi kuwa mteja wa hii hoteli?

Picha: Ulishawahi kuwa mteja wa hii hoteli?

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,357
Ulishawahi kuwa mteja wa hii hoteli? Je, iko wapi?

82b03bb3174022e75e7798d09384a2a2.jpg
 
Mbona huyu kajitahidi... yaani wabongo kwa kubomoa kidhungu ni balaaa... halafu tunajirafiji eti kujua kiingereza sio muhimu...tutumie kiswahili tu!....hatukaki kukubali kuwa lugha ya kiingereza ina mchango muhimu katika elimu yetu na hasa kipindi hiki cha utandawazi amabapo mataifa mengi hata waliokuwa hawataki kiingereza kama wachina wanalazimika kujifunza. Mataifa mengi yanayotuia kifaransa, kijerumani, kispaniola wameanza kulazimika kujifunza kiingereza kwani ndio lugha rasmi ya dunia, la sivyo utabaki peke yako na lugha yako wenzio wakipiga hatua za maendeleo.
 
Ulishawahi kuwa mteja wa hii hoteli? Je, iko wapi?

82b03bb3174022e75e7798d09384a2a2.jpg

Ha ha ha ha kama cha mdau mmoja hivi humu JF,,,lakini sio mbaya ndio kujifunza!


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom