Marwa_J_Merengo
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 4,511
- 6,888
Kwa nini amebaba mtoto mweupe wakati weusi wapo kibao tu humo kituoni,halafu mbona kama anafuta style ileile ya mwendazake
Atakuwa amefurahi.Raisi ajaye wa jamhuri ya muungano wa Tanzania .... Alafu mbna Mzee pinda kama anarembua hvi
Dah!!!,wewe jamaa Mbona unachokonoa Sana???.Kwa nini amebaba mtoto mweupe wakati weusi wapo kibao tu humo kituoni,halafu mbona kama anafuta style ileile ya mwendazake