- Thread starter
- #41
Sio period ,period ilishakata.Mbona kama period🤔
au unahisi mimba inatoka?
Wahi zahanati kwa vipimo zaidi
Sio period ,period ilishakata.Mbona kama period🤔
au unahisi mimba inatoka?
Wahi zahanati kwa vipimo zaidi
Hospital amechelewa Sababu ya mazingira pia....Kuambiwa uende hospital nao ni ushauri
Kachelewa kivipi yupo sayari ya Mars?Hospital amechelewa Sababu ya mazingira pia....
Ighembe NsabhoAsalamaleko 🙌
Tnkama usupusuIghembe Nsabho
Inwezekana pia, japo kichocho angehisi maumivu makali wakati wa kukojoa na damu kwenye mkojo,Au ni kichocho?
Title imejieleza wewe umefungua picha kwa kujitakiaKutapishana tu pilau zetu za jumapili
From my experience,Wewe utakua umerogwa kwa kutembea na mume wa mtu au huyo mpenzi wako n Malaya mmbwa.nmemalizaHabari zenu wanajamvi ,Iko hvi huyu mwanadada anaweza kua na shida Gani? Kwa maelezo yake alikutana napenzi wake mwezi mmoja uliopita lakini baada ya hapo ndani ya siku tatu akaaza hisi maumivu makali ya tumbo then akamtumia dawa za UTI sugu lakini hakupona, Kisha akaanza kutokwa na uchafu kama huu apo chini , anaweza kua na ugonjwa gani
Habari zenu wanajamvi ,Iko hvi huyu mwanadada anaweza kua na shida Gani? Kwa maelezo yake alikutana napenzi wake mwezi mmoja uliopita lakini baada ya hapo ndani ya siku tatu akaaza hisi maumivu makali ya tumbo then akamtumia dawa za UTI sugu lakini hakupona, Kisha akaanza kutokwa na uchafu kama huu apo chini , anaweza kua na ugonjwa gani
ASANTENI KWA USHAULI ,MODS FUTENI THREAD SASA ImetoshaFrom my experience,Wewe utakua umerogwa kwa kutembea na mume wa mtu au huyo mpenzi wako n Malaya mmbwa.nmemaliza
UKIMWI HUO KUWA MAKINI UMECHANGANYIKANA NA GORNOREHEAHabari zenu wanajamvi ,Iko hvi huyu mwanadada anaweza kua na shida Gani? Kwa maelezo yake alikutana napenzi wake mwezi mmoja uliopita lakini baada ya hapo ndani ya siku tatu akaaza hisi maumivu makali ya tumbo then akamtumia dawa za UTI sugu lakini hakupona, Kisha akaanza kutokwa na uchafu kama huu apo chini , anaweza kua na ugonjwa gani
Yeye ndo chanzoKesho kuna mzee wa hovyo atazama uvinza kuoiga deki...
Hujui table manners weweDah na nilikuwa nakula birian yangu Tyr mshanihalbia mlo
UKIMWI HUO KUWA MAKINI UMECHANGANYIKANA NA GORNOREHEA