Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 17,640
- 56,851
Hivi ni kwanini hawawekagi😁
Maana ingekuwa rahisi sis kufanya diagnosis
Hivi ni kwanini hawawekagi😁
Au mambo yao tuwaachie wenyewe?😂😂😂
Hii hatuwezi kuwaachia wenyewe... Picha muhimu...Au mambo yao tuwaachie wenyewe?😂😂😂
Na ndiyo maana inakua ngumu kuwapa miongozo...Hivi ni kwanini hawawekagi😁
Maana ingekuwa rahisi sis kufanya diagnosis
Sometimes inabidi watu wawe wawaziNa ndiyo maana inakua ngumu kuwapa miongozo...
Ila we jamaa
Mficha nanlii, maradhi humuumbua...Ila we jamaa
View attachment 3607708
Umetisha sanaa mangi😂😂Ila we jamaa
View attachment 3607708
Kichocho tenaNenda hospital then Fanya uamuzi . Kwa Mimi naona itakuwa una kichocho.
Kwa hiyo akirushe kipochi manyoya sio?Mficha nanlii, maradhi humuumbua...
Wewe unaonaje? Si anatoka damu ukeni? Au tuseme hedhi?Kichocho tena
Au ni kichocho?Mbona kama period🤔
au unahisi mimba inatoka?
Wahi zahanati kwa vipimo zaidi
Kuambiwa uende hospital nao ni ushauriNdo mana tunaomba ushauri kabla ya kwenda hospital