Picha: Twiga akiogelea kwenye swimming pool huko Monduli

Picha: Twiga akiogelea kwenye swimming pool huko Monduli

Spanishboy

Senior Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
118
Reaction score
65
Kwenye simulizi za zamani tulikuwa tukiambiwa..wanyama wakaishi kwa raha mstarehe, sasa ndo kilichojili huko Monduli. Pengine hatujawahi kufikiria kama kuna huyu mnyama anayeitwa Twiga kuwa anauwezo mkubwa wa kuogelea.

Kwa umakini mtazame Twiga huyu Picha: Twiga akiogelea kwenye swimming pool huko Monduli, Tanzania - Tabianchi
article-2165404-13CFA82F000005DC-356_636x425.jpg

anaogelea au anvuka swimming pool?
 
Post kama hizi hazina maslahi kwa taifa mie naondoka bwana twiga anaogelea so what
 
Post kama hizi hazina maslahi kwa taifa mie naondoka bwana twiga anaogelea so what
Simba akisema huu ni mfupa sitaki, fisi hushukuru na kusema huu ni mnofu wacha niufanyie kazi, asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom